Year: 2025

Featured

Serikali kutumia jitihada zote amani iendelee

RAIS Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuhakikisha mchakato wa mazungumzo ya maridhiano unafanikiwa ili kuwa na taifa lenye amani na umoja…

Soma Zaidi »
Featured

SMZ yapunguza tozo vyakula kudhibiti mfumuko wa bei

KATIKA kukabiliana na kudhibiti mfumuko wa bei za bidhaa za chakula uliojitokeza nchini, Shirika la Bandari la Zanzibar (ZPC) limetangaza…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Gamondi alipochomoza katikati ya wazawa

NOVEMBA 4, mwaka 2025 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilimtangaza Miguel Gamondi kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Chalamila asisitiza amani Dar

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amekutana na wadau wa Nishati ya Mafuta katika…

Soma Zaidi »
Utalii

Mawakala 120 Marekani wavutiwa utalii Tanzania

MARA: Mawakala wa utalii 120 kutoka nchini Marekani wameonyesha kuvutiwa na vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini Tanzania, hususan mandhari…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Rais Mwinyi amuapisha Makamu wa Pili

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mikoa yajipanga kuimarisha amani, umoja

BAADHI ya wakuu wa mikoa wamebainisha mikakati ya kuhakikisha maeneo yao na wananchi yanaendelea kuwa na amani na kuendelea kufanya…

Soma Zaidi »
Diplomasia

SADC yampongeza Samia ushindi Uchaguzi Mkuu

MAKAMU wa Rais Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan imechukua hatua za kurejesha…

Soma Zaidi »
Bunge

INEC yatangaza majina wabunge Viti Maalumu

DODOMA: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefanya uteuzi wa Wabunge Wanawake wa Viti Maalum 115 kati ya idadi ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mbeumo mchezaji bora EPL Oktoba

KIUNGO mshambuliaji wa miamba ya soka, Manchester United, Bryan Mbeumo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Kuu England…

Soma Zaidi »
Back to top button