Year: 2026

Uchumi

Kamati yataka kasi uboreshaji Bandari ya Tanga

TANGA: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Serikali kuharakisha utatuzi wa changamoto za miundombinu wezeshi katika Bandari ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mvua ziongeze uzalishaji kilimo – Batilda

TANGA: MKUU wa Mkoa wa Tanga, Dk Batilda Burian, amewahimiza wananchi wa Wilaya ya Handeni kutumia fursa ya mvua zinazoendelea…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ayoub ashiriki mkutano JPC Tanzania, Uganda

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud, ameshiriki Mkutano wa Tano wa Tume…

Soma Zaidi »
Featured

Wizara, PURA waweka mikakati utafitaji mafuta, gesi asilia

Dar es Salaam: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia masuala ya mafuta na gesi asilia, Dk James Mataragio amekutana…

Soma Zaidi »
Jamii

Sitasahau yaliyotukuta kulipa kwa simu Baa!

DAR ES SALAAM; Ucheshi! Mdau ametuandikia ujumbe akielezea kisa kilichomtokea na wenzake maeneo ya Sinza, Dar es Salaam walipoenda kujinafasi…

Soma Zaidi »
Featured

Makonda aonya viongozi wa michezo wasiowajibika

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amewaonya viongozi wa mashirikisho ya michezo nchini wanaoshindwa…

Soma Zaidi »
Biashara

Tanzania kuuza mahindi DRC

SERIKALI ya Tanzania inatarajia kuiuzia mahindi Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ili kusaidia nchi hiyo kukabiliana na…

Soma Zaidi »
Featured

Boti yapinduka yaua watumishi 6 Kigoma

KIGOMA; WATUMISHI sita wa Idara ya Afya halmashauri ya Wilaya Kigoma mkoani Kigoma wamekufa, baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kutoka…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yapewa kongole ulinzi haki za watoto

MOROGORO: Serikali imepongezwa kwa kuendelea kuongeza juhudi katika kulinda haki za watoto pamoja na kuimarika kwa usajili wa vizazi na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kamati yaagiza usimamizi ujenzi jengo la ICoT

MOROGORO: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhakikisha inamsimamia…

Soma Zaidi »
Back to top button