Year: 2026

Tanzania

Paresso achangia ujenzi nyumba za watumishi CCM Karatu

ARUSHA: Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Cecilia Paresso,…

Soma Zaidi »
Tanzania

TFS yagawa miche milioni 1.4 kusini

MTWARA: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kupitia Kanda ya Kusini imezalisha miche zaidi ya 2,000,000 na kugawa kwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Sekondari yapongezwa upandaji miti

MTWARA: SHULE ya Sekondari Shangani iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara- Mikindani imetajwa ni miongoni mwa vinara katika suala la…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yadhamiria wananchi kupata makazi bora, nafuu

  DAR ES SALAAM: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza dhamira ya Serikali ni kuhakikisha Watanzania hususan vijana, wanapata makazi…

Soma Zaidi »
Dini

Kanisa laadhimisha miaka 42

Shincheonji Kanisa la Yesu, dhehebu linalokua kwa kasi nchini Korea Kusini, limeadhimisha miaka 42 ya kuanzishwa kwake. Ibada ya ukumbusho…

Soma Zaidi »
Featured

Kamati yaitaka WMA kuhakiki mita za umeme

Pwani; Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeagiza Wakala wa Vipimo (WMA) kuhakikisha mita za…

Soma Zaidi »
Jamii

Vilio kuaga watumishi 7 waliokufa ajali ya boti

KIGOMA; MKUU wa Mkoa Kigoma, Balozi Simon Sirro ameongoza viongozi wa serikali na mamia ya wananchi wa Mkoa Kigoma kuaga…

Soma Zaidi »
Infographics

Sheikh ahimiza umoja kusimamia haki duniani

DAR ES SALAAM: SHEIKH Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu wa Shia nchini, Hemed Jalala, ametoa wito kwa Waislamu duniani kote…

Soma Zaidi »
Infographics

‘Kill Marathon’ watoa taarifa barabara zitazotumika Machi 22

DAR ES SALAAM: WANDAAJI wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager wametoa taarifa kuhusu kufungwa kwa barabara zitakazotumika siku ya mbio…

Soma Zaidi »
Tanzania

DC Handeni ataka umoja, mshikamano

TANGA: MKUU wa Wilaya ya Handeni, mkoani Tanga, Salum Nyamwese, amewataka wananchi wa wilaya hiyo kudumisha mshikamano na utamaduni wa…

Soma Zaidi »
Back to top button