Year: 2026

Sayansi & Teknolojia

TTCL waja kivingine huduma intaneti

DAR ES SALAAM: Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL) limezindua huduma mpya ya intaneti yenye kasi ijulikanayo kama “Faiba Supersonic Experience.…

Soma Zaidi »
Uchumi

Wadau wakutana kujadili biashara, uchumi Kigoma

KIGOMA; Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,  Balozi Simon  Sirro amesema mkoa huo utatumia  nafasi yake ya kuwa mkoa wa  kimkakati…

Soma Zaidi »
Biashara

Uwezeshaji wa rasilimali unavyoongeza ujumuishaji wa kifedha

JUHUDI za kupanua ujumuishaji wa kifedha nchini Tanzania zinaendelea kuimarika huku serikali na wadau wa sekta ya fedha wakitafuta njia…

Soma Zaidi »
Featured

Kamati yaguswa mafanikio umeme vijijini

GEITA: MWENYEKITIi wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini,  Subira Mgalu, amesema serikali kupitia Wakala wa Nishati…

Soma Zaidi »
Afya

Marufuku hospitali za serikali kuelekeza ununuzi dawa mitaani

WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba ameonya vituo vya afya na hospitali za serikali kuacha tabia ya kuwaelekeza wananchi kununua dawa…

Soma Zaidi »
Biashara

Soko Kariakoo lazidi kunoga

UONGOZI wa Soko Kuu la Kariakoo umesema takribani asilimia 70 ya wafanyabiashara waliopangiwa vizimba na maduka katika soko jipya tayari…

Soma Zaidi »
Infographics

Wapewa somo uzalishaji korosho wenye tija

MTWARA; WATAALAMU wa kilimo cha korosho nchini wameshauri wakulima kuanza kuandaa mashamba yao kwa kufuata hatua kuu tatu ili kuleta…

Soma Zaidi »
Uwekezajia

Tiseza simamieni kongani BuzwagI

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeelekeza Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji kuhakikisha Kongani…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mpaka wa Tanzania-Kenya wawekwa alama

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeeleza kuridhishwa na maendeleo ya kazi ya uimarishaji wa mpaka…

Soma Zaidi »
Tanzania

UWAA yashauriwa kuchangamkia fursa utalii

ARUSHA: Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillan Iraghye ameutaka Umoja wa Washereheshaji Mkoa wa Arusha (UWAA) kuchangamkia fursa za utalii…

Soma Zaidi »
Back to top button