Year: 2026

Fedha

Mchechu asifu mafanikio kuongezeka uwekezaji

ARUSHA; MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema kuwa katika miaka mitano iliyopita uwekezaji wa serikali katika kampuni  umeongezeka kutoka Sh…

Soma Zaidi »
Fedha

RC Kigoma ataka umeme utekeleze diplomasia ya uchumi

KIGOMA; MKUU wa mkoa Kigoma Balozi Simon Sirro amesema kupatikana umeme wa uhakika mkoani Kigoma ni kichocheo cha utekelezaji wa…

Soma Zaidi »
Fedha

TIB, UNDP wasaini makubaliano kuchochea ukuaji uchumi jumuishi

DAR ES SALAAM: BENKI ya Maendeleo TIB imesaini hati ya makubaliano (MoU) ya miaka minne na Shirika la Mpango wa…

Soma Zaidi »
Dodoma

Homera aja na ‘Sema na Waziri’, asisitiza Katiba kipaumbele

DODOMA: WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera amezindua programu ya Sema na Waziri huku akisisitiza kuwa suala la Katiba…

Soma Zaidi »
Fedha

Meli mpya Bandari ya Karema kuchochea ukuaji uchumi Katavi

KUKAMILIKA kwa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema mkoani Katavi, kunatajwa kuwa kichocheo kikubwa cha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ruangwa yaendelea kunufaika na misitu

LINDI: VIJIJI vya Halmashauri  ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi vinaendelea kunufaika na rasilimali za misitu kwa kujipatia mapato ambayo…

Soma Zaidi »
Biashara

Waipongeza serikali ulinzi rasilimali za misitu

  MTWARA: WAFANYABIASHARA wa mazao ya misitu Kanda ya Kusini wameipongeza Serikali kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)…

Soma Zaidi »
Tanzania

Chuo cha Nyerere chajivunia mifumo bora Tehama

DAR ES SALAAM: Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kimeboresha mifumo ya Tehama ambayo itasaidia kufundisha kwa njia ya mtandao…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kairuki ataka ulinzi nyanzo vya maji

MOROGORO: WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki amesema bila majisafi na salama jamii haiwezi kustawi, uchumi hauwezi…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

TTCL waja kivingine huduma intaneti

DAR ES SALAAM: Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL) limezindua huduma mpya ya intaneti yenye kasi ijulikanayo kama “Faiba Supersonic Experience.…

Soma Zaidi »
Back to top button