Year: 2026

Tanzania

Viongozi watakiwa kueleza thamani na chanzo mali zao

MOROGORO: SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema sheria ya maadili ya viongozi wa umma inawataka viongozi waliopewa dhamana…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Tume ya uchunguzi yakutana na Abdurahman Kinana

TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025,…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Sydney Carter: Kocha anayevunja mipaka uwanjani

SYDNEY Carter ni mmoja wa wanawake waliotengeneza jina kubwa katika ulimwengu wa mpira wa kikapu, si tu kama mchezaji bali…

Soma Zaidi »
Afya

Ripoti: Uandishi wa habari za Afya Afrika unakabiliwa vikwazo

DAR ES SALAAM: RIPOTI ya Mitindo ya Vyombo vya Habari vya Afya Afrika ya 2026 iliyotolewa jijini Nairobi na taasisi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wafanyabiashara watakiwa kuzifahamu sheria za ushindani

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara, Sempeho Manongi, akimwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Maofisa elimu waagizwa kuandaa kanzidata sahihi

ARUSHA: Maofisa elimu wa mikoa na halmashauri zote nchini wameagizwa kuhakikisha wanakuwa na kanzidata sahihi katika kila halmashauri ili kuiwezesha…

Soma Zaidi »
Dini

Monaban ateuliwa msaidizi wa askofu mkuu KKAM

ARUSHA: KANISA la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) limemuingiza kazini Askofu Dk, Philemon Mollel maarufu kwajina la Monaban kuwa msaidizi wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ulega aiagiza TBA ujenzi nyumba za gharama nafuu

 DAR ES SALAAM: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameuagiza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kufanya tathmini ya uwezekano wa kujenga…

Soma Zaidi »
Tanzania

Masauni: Serikali imeimarisha ushirikiano kimataifa

ZANZIBAR: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema serikali imeimarisha ushirikiano wa kimataifa na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Takukuru Mtwara yaokoa mil 15/- AMCOSS

MTWARA: TAASISI ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mtwara imedhibiti upotevu wa zaidi ya Sh milioni 15.3…

Soma Zaidi »
Back to top button