Year: 2026

Fedha

Vijana wanufaika mageuzi ya mikopo

SERIKALI imetangaza kupunguza masharti ya upatikanaji wa mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, ikiwemo kuondoa sharti la lazima la…

Soma Zaidi »
Uchumi

Handeni Mji kuzindua Jukwaa uwezeshaji wanawake

TANGA; KUELEKEA kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Halmashauri ya Mji Handeni inatarajia kuzindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake…

Soma Zaidi »
Afya

Mradi maalumu kukabili udumavu wazinduliwa mikoa mitatu

GEITA: SERIKALI imezindua Mradi wa Kuimarisha Huduma za Lishe katika mikoa ya Geita, Iringa na Tabora ili kusaidia kupunguza changamoto…

Soma Zaidi »
Jamii

Samia Ardhi Kliniki yawafikia wanawake Simiyu

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesogeza karibu huduma za sekta ya ardhi kwa wanawake nchini kupitia Kliniki…

Soma Zaidi »
Jamii

Vijana 5,746 waanza mafunzo uanagenzi

SERIKALI imesema itaendelea kuratibu na kuimarisha sera, sheria na miongozo inayosimamia programu za mafunzo ya uanagenzi, pamoja na kuhamasisha sekta…

Soma Zaidi »
Tanzania

Utulivu watakiwa kesi mgawanyo rasilimali Chadema

DAR ES SALAAM: Jopo la mawakili wa Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Wahariri wakutana na Tume ya uchunguzi

TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025,…

Soma Zaidi »
Fedha

Maofisa elimu kuwezeshwa mikopo

ARUSHA: BENKI ya CRDB imesaini mkataba wa miaka mitano na Umoja wa Maofisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri Tanzania Bara…

Soma Zaidi »
Tanzania

Hati 40 zatolewa Samia Ardhi Kliniki

ARUSHA: NDANI ya siku mbili Ofisi ya Kamishina Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Arusha imefanikiwa kutoa hati 40 katika siku…

Soma Zaidi »
Tanzania

Viongozi watakiwa kueleza thamani na chanzo mali zao

MOROGORO: SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema sheria ya maadili ya viongozi wa umma inawataka viongozi waliopewa dhamana…

Soma Zaidi »
Back to top button