Year: 2026

Gesi

TIB kuongeza ufadhili nishati safi vijijini

BENKI ya Maendeleo ya TIB imeahidi kuongeza juhudi katika kusaidia upatikanaji wa nishati safi ya kupikia katika maeneo ya vijijini…

Soma Zaidi »
Featured

Singida BS yachomoza mbele ya Yanga, Simba

DAR ES SALAAM. RAUNDI ya kwanza ya Ligi Kuu Bara imemalizika, huku Singida Black Stars ikiibuka kinara baada ya kuanza…

Soma Zaidi »
Afya

Wananchi Msangamkuu wasogezewa huduma za afya

WANANCHI wa Kata ya Msangamkuu, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea Kituo cha Afya cha…

Soma Zaidi »
Tanzania

TICD yaingiza moduli za PPP katika mitaala ya mafunzo

ARUSHA: Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) imefanya maboresho ya kimkakati katika mifumo yake ya mafunzo kwa kuingiza rasmi…

Soma Zaidi »
Tanzania

VETA, VTA kuendeleza ushirikiano mafunzo bora nchini

ZANZIBAR: MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeahidi kuendeleza ushirikiano na Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar…

Soma Zaidi »
Jamii

Rais Samia aikabidhi cheti cha shukrani NSSF Tamasha la Kizimkazi

ZANZIBAR; Rais wa  Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan,  Agosti 14, 2026, amemkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi…

Soma Zaidi »
Afya

Sh bilioni 1.2 kusaidia watoto wenye magongwa ya moyo

GEITA: KIASI cha Sh bilioni 1.2 kimetengwa kwa kipindi cha miaka mitatu kusaidia matibabu ya watoto 300 wenye magonjwa ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Dar City, Mlimani zang’ara kikapu Dar

DAR ES SALAAM. TIMU ya Dar City imeendeleza ushindani katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam baada ya…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

MsingiTek rasmi Manyara kuwezesha wanafunzi kujifunza KKK

Manyara: Zaidi ya wanafunzi 24,000 katika Mkoa wa Manyara wanatarajiwa kunufaika na MsingiTek, programu ya kujifunza kwa kutumia vishikwambi inayolenga…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wawili jela miaka 30 kila mmoja kwa ubakaji

MBEYA; Mahakama ya Wilaya ya Chunya imewahukumu watu wawili kifungo cha miaka 30 jela kila mmoja baada ya kutiwa hatiani…

Soma Zaidi »
Back to top button