Lemutuz afariki dunia

Lemutuz kuagwa leo Dar

MMILIKI wa ‘Le Mutuz’ Blog, William Malecela, maarufu ‘ Le Mbebez’ ‘Kokobanga’ ‘Superbrand’ amefariki dunia leo Mei 14, 2023 katika hospitali ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa rafiki wa karibu na Lemutuz Sebastian Ndege ‘ Jembe ni Jembe’

Advertisement

Akizungumza na HabariLEO Ndege amesema “Ni kweli rafiki yetu ametutoka, amepambana sana ila ndio hivyo.”

Taarifa zaidi zitakujia hivi punde

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *