Mwigulu amwakilisha Rais Samia maadhimisho miaka 30 Ocean Road

WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba leo Februari 12, 2026 amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya miaka 30 ya Taasisi ya Saratani Ocean Road.

Maadhimisho hayo yanayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam yanatoa fursa kwa Taasisi hiyo pamoja na wadau wengine kutafakari kwa pamoja safari ya mapambano dhidi ya saratani kwa kuangalia walipotoka, walipo na wapi wanaelekea.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button