Waziri Ulega ashiriki maadhimisho Siku ya Umoja wa Mataifa

DAR ES SALAAM; Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega, akikagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwa maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa iliyoadhimishwa katika Ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam leo Oktoba 23, 2026. (Na Mpigapicha Maalumu).




