Haaland aumia

MSHAMBULIAJI wa Norway, Erling Haaland atakosa mechi ya Norway dhidi ya Scotland kutokana na jeraha lake la kifundo cha mguu.

Daktari wa timu hiyo amethibitisha kuwa jeraha sio kubwa  lakini “ana maumivu makali na hivyo hawezi kutumika kwa mchezo huo.

Haijawekwa wazi kama kuna mchezo mwingine atakosa baada ya kurejea Manchester City.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button