KLABU ya Singida Black Stars imeendelea kutoa vichapo kwa timu a Ligi Kuu Tanzania Bara inazokutana nazo baada ya leo kuichapa Pamba Jiji kwa bao 1-0 kwenye uwanja CCM Kirumba jijini Mwanza.
Tayari Singida Black Stars imezipa kipigo KenGold, Kagera Sugar na KMC.