Lassine Kouma ni mwananchi!

DARES SALAAM; YANGA ya Dar es Salaam imemtambulisha usiku huu kiungo wa boli kutoka Stade Malien ya Mali Lassine Kouma kuwa ni usajili mpya wa klabu hiyo msimu wa mwaka 2025/26.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button