Stars ilivyotota kwa Zambia

ZANZIBAR; Matukio mbalimbali mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 kati ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na Zambia ‘Chipolopolo’ uliofanyika jana Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Stars ililala (0-1).