Azam walivyotinga kibabe makundi CAF

DAR ES SALAAM; TIMU ya soka ya Azam FC jioni ya leo Oktoba 24, 2025 imeandika historia mpya ya kuingia kwa mara ya kwanza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF), baada ya kuifunga KMKM mabao 7-0 Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Kutokana na matokeo hayo Azam FC imefuzu hatua ya makundi kwa jumla ya mabao 9-0 baada ya mchezo wa kwanza uliofanyiak Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar wiki moja iliyopita, timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 0-2.





JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 6000-12700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern……………………………………. http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com