Johari ateuliwa Mwanasheria Mkuu Tanzania

DODOMA : RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi leo, imesema Johari ataapishwa Jumatano Novemba 5 saa nne asubuhi katika Ikulu ya Chamwino, Dodoma. SOMA: Dk. Talib ateuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar



