Mkandarasi apewa siku 100 mradi wa tactics mjini Geita

GEITA: WAKALA wa Huduma za Barabara Mjini na Vijijini Tanzania (TARURA) imetoa muda wa fidia ya makubaliano ya siku 100 kwa mkandarasi wa Mradi wa Uboreshaji wa Miji (TACTICS) mjini Geita.

Mkataba wa awali wa mradi wa TACTICS mjini Geita ulikuwa ni miezi 15 sawa na siku 458 ambapo ulianza kutekelezwa Novemba 20, 2023 na ulitarajiwa kukamilika Februari 19, 2025.

Mhandisi Mshauri wa Mradi, Mhandisi Rechnold Manyanga ametoa taarifa hiyo mbele ya mkuu wa mkoa wa Geita alipotembelea maendeleo ya mradi huo wa barabara ya Km 17 za lami.

Mhandisi Manyanga amesema mradi huo unaotekelezwa na kampuni ya Sichuan Road and Bridge (Group) Corporation LTD umeshindwa kukamilika kwa wakati na mpaka sasa umefikia asilimia 61.

Amesema kabla ya muda wa fidia, mkandarasi aliongezewa siku 250 sawa na miezi 8.4 huku matarajio hadi sasa yalikuwa ni kukamilisha mradi kwa asilimia 95 lakini mkwamo ni asilimia 34.

“Mkandarasi ameshaarifiwa kwa barua na utekelezaji umeanza Novemba 01, 2025 na utamalizika Februari 08, 2025 ambapo mkandarasi anatakiwa awe amemaliza kazi” amesema.

Mhandisi Manyanga amesema gharama za jumla za mradi ni kiasi cha sh bilioni 22.23 ambapo mkandarasi ameshalipwa jumla ya kiasi cha sh bilioni 8.06 kwa malipo ya kazi zilizothibitishwa.

“Changamoto za mradi ni uchelewaji wa uletwaji wa vifaa, upungufu wa raslimali na ufanisi wa vifaa, kuchelewa kwa kuletwa mitambo mikubwa ya usagaji kokoto na lami ndani ya muda.

“Mkandarasi ameshindwa kumaliza kazi ndani ya mud awa mkataba licha ya kuongezewa mud awa takribani miezi nane, kukaa vikao vya juu na kushauriwa kuongeza raslimali zaidi” amesema.

Mkuu wa mkoa wa Geita Martine Shigela amesema kuwa dhamira ya serikali ya awamu ya sit ani kuhakikisha inatekeleza kwa vitendo ahadi zote ikiwemo uboreshaji wa miundombinu.

“Ukiangalia kazi iliyobakia ni kubwa zaidi ya muda uliobakia, maana ametumia zaidi ya miaka miwili, ameshindwa kutimiza wajibu wake sidhani ka a siku 100 zinatosha kukamilisha kazi”, amesema.

Amesema ili kufanikisha ukamilishaji wa mradi huo halmashauri ya manispaa isimamie kuhakikisha mkandarasi anaongeza masaa ya kazi kutoka nane hadi 14 kwa siku na ufuatiliaji uimarishwe.

Habari Zifananazo

19 Comments

  1. I was just looking for something flexible to do from home, and this turned out way better than I thought. It’s easy to start, doesn’t take much time, and it actually pays. Not one of those “too good to be true” things — just real work at home that fits your day.12

    Check it out → https://usbs0.blogspot.com/

  2. I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
    .
    HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com

  3. By the end of April 2025, more than 122 million people were forcibly displaced worldwide as a result of persecution, conflict, violence or human rights violations. This includes:

    42.7 million refugees
    73.5 million internally displaced people
    8.4 million asylum seekers
    5.9 million people in need of international protection, a majority from Venezuela

  4. Nchi ya Syria ndio inaongoza kuwa na watu wengi chini ya himaya ya UNHCR ambako kuna jumla ya wakimbizi milioni 6.8, nchi inayofuata ni Venezuela ambayo ina jumla ya wakimbizi milioni 4.9.

  5. Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
    .
    M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us →→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com

  6. Nchi nyingine mbili ni Afghanistan inayoshika nafasi ya tatu kwakuwa na idadi ya wakimbizi milioni 2.8 ikifuatiwa na taifa changa zaidi Afrika, nchi ya Sudan Kusini ambayo ina jumla ya wakimbizi milioni 2.2. Myanmara inashika nafasi ya 5 ikiwa na wakimbilizi Milioni 1.1 wanaosimamiwa na shirika hili la Umoja wa Mataifa

  7. Na nchi inayoongoza kukaliwa na wakimbizi wengi ni Uturuki, ambayo imekaribisha takriban wakimbizi milioni 4, wengi wa wakimbizi hawa ni raia wa Syria ambao ni sawa na asilimia 92 ya wakimbizi wote nchini humo.

  8. Nchi ya Colombia, taifa hili linahifadhi wakimbizi kutoka nchi mbalimbali lakini wanaoongoza kwa idadi kumbwa ni Venezuela ambao wako zaidi ya milioni 1.7

  9. Nchi ya Colombia, taifa hili linahifadhi wakimbizi kutoka nchi mbalimbali lakini wanaoongoza kwa idadi kumbwa ni Venezuela ambao wako zaidi ya milioni 1.7.

  10. Ujerumani inashika nafasi ya tatu duniani kwakuwa na idadi kubwa ya wakimbizi ambako takwimu zinaonesha jumla yao ni takriban milioni 1.5, katika nchi hii pia raia wa Syria pamoja na waomba hifadhi wanafikia asilimia 44 ya wakimbizi wote.

  11. Mataifa yanayoshika namba 4 na 5 ni Pakistan na Uganda ambayo yamehifadhi jumla ya wakimbizi milioni 1.4 kila moja.

  12. Takriban watoto milioni moja wamezaliwa nje ya mataifa yao kati ya mwaka 2018 na 2020, idadi hii ni sawa na uwiano wa watoto kati ya 290,000 na 340,000 kwa mwaka.

  13. Takriban watoto milioni moja wamezaliwa nje ya mataifa yao kati ya mwaka 2018 na 2020, idadi hii ni sawa na uwiano wa watoto kati ya 290,000 na 340,000 kwa mwaka. ..

  14. Takriban watoto milioni moja wamezaliwa nje ya mataifa yao kati ya mwaka 2018 na 2020, idadi hii ni sawa na uwiano wa watoto kati ya 290,000 na 340,000 kwa mwaka.
    Watoto hawa wapo kwneye hatari ya kuendelea kuishi uhamishoni kwa miaka mingi zaidi na wengine maisha yao yote bila kurejea kwenye taifa lao la Venezuela

  15. Takriban watoto milioni moja wamezaliwa nje ya mataifa yao kati ya mwaka 2018 na 2020, idadi hii ni sawa na uwiano wa watoto kati ya 290,000 na 340,000 kwa mwaka.
    Watoto hawa wapo kwneye hatari ya kuendelea kuishi uhamishoni kwa miaka mingi zaidi na wengine maisha yao yote bila kurejea kwenye taifa lao la Venezuela.
    Pamoja na kuwa wakimbizi wanakuwa wa rika zote lakini takwimu za UNHCR zinaonesha watoto wamechukua asilimia 30 ya wakimbizi wote duniani.

  16. Takriban watoto milioni moja wamezaliwa nje ya mataifa yao kati ya mwaka 2018 na 2020, idadi hii ni sawa na uwiano wa watoto kati ya 290,000 na 340,000 kwa mwaka.
    Watoto hawa wapo kwneye hatari ya kuendelea kuishi uhamishoni kwa miaka mingi zaidi na wengine maisha yao yote bila kurejea kwenye taifa lao la Venezuela.
    Pamoja na kuwa wakimbizi wanakuwa wa rika zote lakini takwimu za UNHCR zinaonesha watoto wamechukua asilimia 30 ya wakimbizi wote duniani. ..

  17. Takriban watoto milioni moja wamezaliwa nje ya mataifa yao kati ya mwaka 2018 na 2020, idadi hii ni sawa na uwiano wa watoto kati ya 290,000 na 340,000 kwa mwaka.
    Watoto hawa wapo kwneye hatari ya kuendelea kuishi uhamishoni kwa miaka mingi zaidi na wengine maisha yao yote bila kurejea kwenye taifa lao la Venezuela.
    Pamoja na kuwa wakimbizi wanakuwa wa rika zote lakini takwimu za UNHCR zinaonesha watoto wamechukua asilimia 30 ya wakimbizi wote duniani.
    Kwakutazama uwiano wa mabara, nchi tatu za Kusini mwa jangwa la Sahara ndio zinazo ongoza kuwa na idadi kubwa ya wakimbizi watoto.

  18. Takriban watoto milioni moja wamezaliwa nje ya mataifa yao kati ya mwaka 2018 na 2020, idadi hii ni sawa na uwiano wa watoto kati ya 290,000 na 340,000 kwa mwaka.
    Watoto hawa wapo kwneye hatari ya kuendelea kuishi uhamishoni kwa miaka mingi zaidi na wengine maisha yao yote bila kurejea kwenye taifa lao la Venezuela.
    Pamoja na kuwa wakimbizi wanakuwa wa rika zote lakini takwimu za UNHCR zinaonesha watoto wamechukua asilimia 30 ya wakimbizi wote duniani.
    Kwakutazama uwiano wa mabara, nchi tatu za Kusini mwa jangwa la Sahara ndio zinazo ongoza kuwa na idadi kubwa ya wakimbizi watoto. ..

  19. Takriban watoto milioni moja wamezaliwa nje ya mataifa yao kati ya mwaka 2018 na 2020, idadi hii ni sawa na uwiano wa watoto kati ya 290,000 na 340,000 kwa mwaka.
    Watoto hawa wapo kwneye hatari ya kuendelea kuishi uhamishoni kwa miaka mingi zaidi na wengine maisha yao yote bila kurejea kwenye taifa lao la Venezuela.
    Pamoja na kuwa wakimbizi wanakuwa wa rika zote lakini takwimu za UNHCR zinaonesha watoto wamechukua asilimia 30 ya wakimbizi wote duniani.
    Kwakutazama uwiano wa mabara, nchi tatu za Kusini mwa jangwa la Sahara ndio zinazo ongoza kuwa na idadi kubwa ya wakimbizi watoto.
    Afrika Magharibi na Jamhuri ya Afrika ya Kati zina idadi kubwa zaidi ya wakimbizi wanawake na wasichana ambao jumla yake ni asilimia 54 zaidi ya nchi nyingine yeyote

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button