POLISI nchini Colombia wametangaza zawadi ya ‘ Pesos’ 200 kwa atakayefanishika kumpata baba wa mchezaji wa Liverpool, Luiz Diaz ambaye amepotea tangu jana.
Baba na mama wa Diaz wote walipotea, ila taarifa za mchana wa leo zinaeleza mama yake amepatikana, bado baba yake.
Mpaka sasa hakuna taarifa zozote za upatikanaji wa baba yake Diazi.