Mwandishi Wetu

Kanda

Wanakijiji wahimizwa ushirikiano na Polisi kuimarisha usalama

Wananchi wa Kijiji cha Minyaa mkoani Singida wamehimizwa kushikamana na kushirikiana kwa karibu na Jeshi la Polisi ili kuimarisha usalama…

Soma Zaidi »
Utalii

TANAPA yafungua milango ya wawekezaji Rubondo

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limefungua milango ya uwekezaji kwenye Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo mkoani Geita…

Soma Zaidi »
Tanzania

‘Tanzania imepiga hatua kubwa utoaji huduma’

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk Suleiman Hassan Serera, amesema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika…

Soma Zaidi »
Featured

Mikakati kudhibiti utoroshaji wa madini ilete tija kwa taifa

WATAALAMU kutoka taasisi mbalimbali za serikali wamefanya kikao cha kujadili mikakati ya kudhibiti utoroshaji wa madini nchini, chini ya uongozi…

Soma Zaidi »
Tanzania

NEMC, ZEMA zakubaliana usimamizi, uhifadhi mazingira nchini

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira Zanzibar (ZEMA) zimeimarisha ushirikiano…

Soma Zaidi »
Featured

Uwekezaji wa serikali wafikia tril 92.3/-

MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema uwekezaji wa serikali ndani na nje ya nchi umeongezeka kwa asilimia saba. Taarifa ya…

Soma Zaidi »
Infographics

Majaliwa kufungua Wiki ya Vijana Kitaifa Mbeya

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuzindua Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa 2025, Oktoba 10 yanayofanyika kwenye viwanja vya Uhindini…

Soma Zaidi »
Kanda

Bandari Mtwara yapokea mafuta kwenda nchi jirani

BANDARI ya Mtwara imeanza kupokea meli zenye mzigo wa mafuta ambayo husafirishwa kwenda Zambia, Malawi na Burundi. Meneja wa Bandari…

Soma Zaidi »
Jamii

Mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya mama wa kambo

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mkazi wa Masoko wilyani Rungwe, Tatizo Mzumbwe kwa tuhuma za mauaji ya mama…

Soma Zaidi »
Afya

Tanzania yaandikisha wanachama wengi bima ya afya

TANZANIA, Kenya na Rwanda ni miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizoandikisha wanachama wengi kupata huduma…

Soma Zaidi »
Back to top button