Aveline Kitomary

Biashara

Mwanga Benki yaanza huduma mpya ya mikopo

DAR-ES-SALAAM : BENKI ya Mwanga Hakika imezindua huduma mpya ya utoaji haraka wa mikopo kupitia hati fungani inayoitwa 'Mkopo Chap'…

Soma Zaidi »
Africa

Rais Museveni kugombea tena urais

UGANDA : RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni (80), ametangaza rasmi nia ya kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika…

Soma Zaidi »
Amerika

TikTok yapata mnunuzi, majina yahifadhiwa

WASHINGTON DC : RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema kuna kundi la wawekezaji wenye uwezo mkubwa kifedha walioko tayari kununua…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Ukraine kujiondoa kwenye Mkataba wa Ottawa

KYIV, UKRAINE : RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, ametia saini amri ya kuiondoa rasmi nchi yake kutoka kwenye Mkataba wa…

Soma Zaidi »
Africa

Wachimbaji 11 wa dhahabu wapoteza maisha

KHARTOUM : KAMPUNI ya Rasilimali ya Madini Sudan (SMRC) imethibitisha kuwa wachimbaji 11 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kuangukiwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Iran yaikosoa Israel kuhusu usitishaji mapigano

TEHRAN : SERIKALI ya Iran imetangaza kutokuwa na imani na hatua ya Israel ya kutangaza usitishaji wa mapigano, ikisema bado…

Soma Zaidi »
Tanzania

TAMWA yamkabidhi uenyekiti Dk Kaale

DAR-ES-SALAAM : CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimepata Mwenyekiti mpya wa bodi, Dk Kaanaeli Kaale ambaye atakiongoza chama hicho…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania yaandaa tuzo za utalii Duniani

DAR-ES-SALAAM : MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya Utalii Ephraim Mafuru akitoa salaam za ukaribisho kwa wageni wa ndani na nje…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Iran yaitahadharisha Marekani kuhusu mashambulio

TEHRAN: KIONGOZI Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amesema taifa lake liko tayari kujibu kwa nguvu kubwa endapo Marekani itafanya…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Wapalestina 56 wauawa Gaza

GAZA, PALESTINA : IDARA ya Ulinzi wa Raia katika Ukanda wa Gaza imethibitisha kuwa watu 56 wameuawa Alhamisi, Juni 26,…

Soma Zaidi »
Back to top button