Rahimu Fadhili

Infographics

Watu 1246 wafikiwa msaada wa kisheria Zanzibar

ZANZIBAR:SERIKALI ya Mapinduzi Visiwani Zanzibar imeeleza kuwa tangu kuzinduliwa kwa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia…

Soma Zaidi »
Utalii

TTB yaomba kura za watanzania tuzo za World Travel

DAR ES SALAAM – Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imezindua rasmi kampeni ya “Tanzania Shines 2025”, yenye lengo la kuhamasisha…

Soma Zaidi »
Siasa

Dorothy Semu atwaa fomu kugombea urais

DAR ES SALAAM: Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Dorothy Semu amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais…

Soma Zaidi »
Utalii

Mataifa 200 kushiriki jukwaa utalii wa vyakula

WASHIRIKI  zaidi ya 300 kutoka mataifa 200 wanatarajia kushiriki Jukwaa la Pili la Utalii wa Vyakula ambavyo vinatajwa kuchagiza masoko…

Soma Zaidi »
Tanzania

ACT -Wazalendo waguswa kifo cha Papa Francis

CHAMA cha ACT- Wazalendo kimepokea kwa huzuni na masikitiko kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis kilichotokea leo.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Machinga, bodaboda Dar wagomea maandamano Chadema

DAR ES SALAAM: SHIRIKISHO la Madereva Bodaboda na Bajaji na Shirikisho la Umoja wa Wamachinga Nchini (SHIUMA) wamesema hawapo tayari…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mil 3/- kushindaniwa kombe la mbunge Missenyi

JUMLA ya Sh milioni 3 zinashindaniwa katika mashindano ya mpira wa miguu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Nkenge Wilaya…

Soma Zaidi »
Siasa

Mchuano mkali ubunge ACT jimbo la Malindi

TAARIFA  kutoka ndani ya Chama cha ACT Wazalendo zinaonesha jumla ya wanachama watatu wa chama hicho wamejitokeza kuchukua fomu za…

Soma Zaidi »
Siasa

Wanane wajitokeza ubunge jimbo la Wete

WANACHAMA wanane wa Chama cha ACT- Wazalendo wamechukua fomu kugombea ubunge wa jimbo la Wete lililopo Pemba Visiwani Zanzibar. Miongoni…

Soma Zaidi »
Tanzania

Miundombinu ya elimu Dar yazidi kuimarika

DAR ES SALAAM: Zaidi ya Sh bilioni 32 zimetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza miradi mbalimbali na ukarabati wa…

Soma Zaidi »
Back to top button