Bella, El Saadat, Twanga Pepeta kukiwasha Valentine Day

DAR ES SALAAM: MASHABIKI wa muziki wa dansi nchini wanatarajia kushuhudia onesho kubwa la kihistoria itakayofanyika jijini Dar es Salaam, likiwakutanisha wakali watatu wa muziki wa dansi jukwaa moja.

Shoo hiyo iliyopewa jina la “3 Kubwa” itawakutanisha wasanii wakubwa wa muziki wa dansi ambao ni Chalz Baba, Christian Bella na Nyoshi El Saadat, wakitumbuiza sambamba na bendi zao.

Katika shoo hiyo, Chalz Baba atatumbuiza akiwa na Twanga Pepeta, Christian Bella atakuwa na Malaika Band, huku Nyoshi El Saadat akiungana na Bogoss Musica.

Tamasha hilo limeandaliwa na Lengos V.I.P kwa kushirikiana na Chama cha Muziki wa Dansi Tanzania (CHAMUDATA), ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuenzi, kukuza na kuendeleza muziki wa dansi nchini, sambamba na kuwakutanisha wasanii wakongwe na chipukizi katika jukwaa moja.

Aidha, shoo hiyo itapambwa na uwepo wa mwanamuziki Elyston Angay, ambayetayari yupo nchini kwa ajili ya kushiriki katika burudani hiyo itakayofanyika katika Ukumbi wa Las Carinyo, uliopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam.

Usiku huo unatarajiwa kuwa wa kipekee huku ukipambwa na burudani kutoka kwa waimbaji wa sasa na wa zamani wa muziki wa dansi, jambo linaloifanya shoo hiyo kuwa ya kipekee na yenye mvuto mkubwa kwa mashabiki wa muziki huo.

Habari Zifananazo

3 Comments

  1. I earned $17,932 last month by working online for just 2 hours a day. This job is simple, flexible, and beginner-friendly,S1 making it accessible to everyone. It has helped me manage my finances effortlessly while focusing on my education as a full-time student.
    You can click on this the website and begin

    right away….w­­w­­w­­.t­­o­­d­­a­­y­­.­­e­­a­­r­­n­­5­­4­­.c­­o­­m

  2. I get paid more than $90 to $120 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills.

    This is what I do….w­­w­­w­­.t­­o­­d­­a­­y­­.­­e­­a­­r­­n­­5­­4­­.c­­o­­m

  3. I get paid more than $120 to $130 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills.
    This is what I do…..  www.join.work27.com 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button