Bernard Membe afariki dunia

WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amefariki dunia.
Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali zimeeleza kuwa Membe ambaye pia amewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mtama amefariki asubuhi leo. Taarifa zaidi zitakujia.