Afya

Kampuni yatoa msaada wa viti zahanati Itezi

MBEYA: KAMPUNI ya Kati Investment imetoa msaada wa viti vinane vya wagonjwa vyenye thamani ya Sh milioni 1.5 kwa Zahanati…

Soma Zaidi »

Mambo 12 ya TMDA miaka minne ya Samia

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), ina jukumu la kulinda afya ya jamii kwa kudhibiti ubora, usalama na ufanisi…

Soma Zaidi »

Wagonjwa kuelekea Muhimbili wapungua Moro

MOROGORO: IDADI  ya rufaa ya wagonjwa kutoka Hospitali ya Rufaa Morogoro kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imepungua. Hatua hiyo…

Soma Zaidi »

MOI yajivunia kupata mafanikio makubwa

DAR ES SALAAM; Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imeeleza mafanikio waliyoyapata kutoka Februari hadi Mei 2025…

Soma Zaidi »

“Lipeni madeni ya MSD izidi kuboresha hudum”

MTWARA: MGANGA Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Dk Benedicto Ngaiza, amewataka wataalamu wa sekta ya afya mikoa ya Mtwara, Lindi…

Soma Zaidi »

Miico wajikita kutatua udumavu Momba

SONGWE: KUTOKANA na Wilaya ya Momba iliyopo mkoani Songwe kuwa na kiwango kikubwa cha udumavu ambacho ni asilimia 31.9 licha…

Soma Zaidi »

Morogoro wapata huduma za kibingwa bure

MOROGORO; Wananchi Mkoa wa Morogoro wamejitokeza kupata huduma za kibingwa na bobezi bure katika maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo…

Soma Zaidi »

Majaliwa ahadharisha matumizi akili mnemba sekta ya afya

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wataalamu wa afya nchini kuhakikisha matumizi ya teknolojia katika sekta ya afya ikiwemo akili mnemba…

Soma Zaidi »

Majaliwa ataka tafiti za tija mabadiliko sekta ya afya

DAR ES SALAAM: SERIKALI imetawaka watafiti na watunga sera kuwekeza katika tafiti zenye tija ili matokeo yake yatumike kutunga sera…

Soma Zaidi »

Bil 1/- zanunua vifaa tiba Handeni

TANGA: SERIKALI imewekeza ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa vya Sh bilioni 1 kwenye sekta ya afya katika Halmashauri ya…

Soma Zaidi »
Back to top button