Afya

Janabi ahadharisha vifo magonjwa yasiyoambukiza

MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amehimiza jamii kubadili mtindo wa maisha kuepuka vifo…

Soma Zaidi »

‘Afya ya kinywa hatari kifafa cha mimba, ulemavu’

MTWARA; KUTOKUTUNZA afya ya meno na kinywa ni moja ya sababu kwa wajawazito kupata watoto njiti, kifafa cha mimba, mimba…

Soma Zaidi »

MSD yaimarisha usafishaji damu, gharama kupungua

BOHARI ya Dawa Tanzania (MSD) imesema gharama za kusafi sha damu zitapungua kutoka kati ya Sh 200,000 hadi 230,000 kuwa…

Soma Zaidi »

Kamati ya bunge yatoa 5 zahanati Bulyanhulu

SHINYANGA: WAKATI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya Ukimwi ikistaajabu mazingira mazuri ya kituo cha afya…

Soma Zaidi »

MSF ipo tayari mapambano dhidi ya magonjwa ya mlipuko

SHIRIKA la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetangaza kuwa lipo tayari kushirikiana na Wizara ya Afya ya Tanzania kwa kutoa…

Soma Zaidi »

Bil 27/- msaada kutoka Japan kuboresha afya nchini

Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa shilingi bilioni 27.3 kwa ajili…

Soma Zaidi »

Tufuate maelekezo ya wataalamu kujikinga magonjwa ya milipuko

JUZI Wizara ya Afya ilitoa mwongozo kwa wasafiri kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani kama ilivyotangazwa kuwepo…

Soma Zaidi »

Wananchi kujengewa wodi kituo cha afya Mirerani

KITUO cha afya Mirerani kina changamoto ya upungufu wa wodi ya wanawake na watoto na kusababisha msongamano mkubwa kwa wagonjwa…

Soma Zaidi »

Kamati za Bunge Afrika na uendelevu huduma za afya

HIVI karibuni ulifanyika Mkutano wa Wenyeviti wa Kamati za Afya kwa Mabunge ya Afrika uliojadili na kutathmini idadi ya watu…

Soma Zaidi »

Wananchi watakiwa kujitokeza kupima macho

NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,Geophrey Pinda,amewataka wananchi wa Jimbo la Kavuu mkoani Katavi,kujitokeza kwa wingi…

Soma Zaidi »
Back to top button