Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
TRA Geita yakusanya bil 34/ miezi sita
March 3, 2025
TRA Geita yakusanya bil 34/ miezi sita
MAMLAKA ya Mapato (TRA) Mkoa wa Geita imekusanya kiasi cha sh bilioni 34.44 sawa na asilimia 109.76 ya lengo la…
Maboresho Bandari ya Tanga yalipa
March 2, 2025
Maboresho Bandari ya Tanga yalipa
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema maboresho makubwa yaliyofanywa na yanayoendelea kufanywa katika…
Msigwa aanika mafanikio lukuki mkutano wa kahawa
March 2, 2025
Msigwa aanika mafanikio lukuki mkutano wa kahawa
MSEMAJI Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema mkutano wa tatu…
Samia: Tanzania imefunguka kwa uwekezaji
March 2, 2025
Samia: Tanzania imefunguka kwa uwekezaji
RAIS Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wawekezaji kuwa Tanzania imefunguka kwa uwekezaji na ni nchi salama yenye sera za uwekezaji rafiki,…
Barabara ya Handeni-Singida kujengwa kwa PPP
March 2, 2025
Barabara ya Handeni-Singida kujengwa kwa PPP
RAIS Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kukaa na Wizara ya Uchukuzi kukubaliana kwa pamoja kutafuta mwekezaji atakayeshirikiana nao…
Rais Samia atoa msimamo bandari
March 2, 2025
Rais Samia atoa msimamo bandari
RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka watumishi wa bandari nchini kuwa tayari kufanya kazi kwa bidii, uadilifu kuendana na teknolojia mpya…
Samia: Tanzania imefunguka, ni salama kwa uwekezaji
March 1, 2025
Samia: Tanzania imefunguka, ni salama kwa uwekezaji
Rais Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wawekezaji kuwa “Tanzania imefunguka kwa uwekezaji, Tanzania ni salama kwa uwekezaji, na sera za uwekezaji…
Samia: Maboresho Bandari ya Tanga kuongeza ufanisi, tija
March 1, 2025
Samia: Maboresho Bandari ya Tanga kuongeza ufanisi, tija
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maboresho ya Bandari ya Tanga ambayo yamegharimu shilingi bilioni 429 yatakwenda kuongeza ufanisi mkubwa…
Silafrika yaipongeza serikali sera rafiki uwekezaji
March 1, 2025
Silafrika yaipongeza serikali sera rafiki uwekezaji
KAMPUNI ya SILAFRIKA imeipongeza serikali kwa msaada na sera rafiki kwa wawekezaji kwani inachangia ukuaji wa pato la taifa. Kauli…