Featured

Featured posts

Biteko: Tujenge mazingira kuepusha migogoro baada ya vifo

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka wanajamii wajiepushe na mazingira yanayoweza kusababisha migogoro baada ya…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu awasili Japan

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 23, 2025 amewasili Osaka nchini Japan kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye maonesho ya…

Soma Zaidi »

ATCL mguu sawa kuiunganisha Afrika

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Peter Ulanga amesema katika miaka mitano ijayo anaiona ATCL ikiwa sehemu ya…

Soma Zaidi »

Ulinzi yajivunia usalama miradi, ujenzi wa uchumi

WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imesema inajivunia mafanikio katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita,…

Soma Zaidi »

Mbeki azuru eneo la Mazimbu Morogoro

RAIS wa Zamani wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki ametembelea eneo la kihistoria la Mazimbu, lililoko mkoani Morogoro ikiwa ni katika…

Soma Zaidi »

NHIF yaguswa mzigo gharama za matibabu

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema kila mwaka unatumia zaidi ya Sh bilioni 700 kugharamia matibabu katika…

Soma Zaidi »

Dalali: Hatutakubali kombe liondoke

Zanzibar: Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali amesem hawatakubali Kombe la Shirikisho la Afrika liondoke. Dalali ametoa kauli hiyo…

Soma Zaidi »

Rais wa Namibia atoa somo la uongozi

RAIS wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah amesema nidhamu na kuwa na malengo ni msingi wa kuwa kiongozi mzuri. Alisema hayo alipozungumza…

Soma Zaidi »

‘TANROADS, TAA kamilisheni miradi ya kimkakati kwa wakati’

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameziagiza Taasisi ya Wakala wa Barabara (TANROADS) na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) kushirikiana…

Soma Zaidi »

Utashi kisiasa utachagiza ukuaji wa uchumi Tanzania, Namibia

TANZANIA juzi imempokea Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah aliyefika nchini kwa ziara ya kikazi kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe…

Soma Zaidi »
Back to top button