Simba yamewakuta huko!

MANYARA; MCHEZO wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho la CRDB umemalizika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Manyara. Singida Black Stars imeibugiza Simba ya Dar es Salaam mabao 1-3 na sasa itacheza fainali na Yanga.