Featured

Featured posts

Mv Serengeti yapinduka, yazama Mwanza

MWANZA; MELI ya Mv Serengeti imepinduka na kuzama kwenye Bandari ya Mwanza Kusini ikiwa imefungwa katika gati bandarini hapo. Taarifa…

Soma Zaidi »

MATUKIO MAKUBWA MWAKA 2024: Kanisa la Anglikana laomba msamaha

MEI mwaka huu Kanisa la Anglikana liliomba radhi kwa Kanisa la Tanzania kwa makosa liliyowafanyia watu wa Zanzibar wakati wa…

Soma Zaidi »

Ujenzi, ukarabati miundombinu ya usafirishaji waimarika

UJENZI, ukarabati na matengenezo ya miundombinu ya barabara na usafi rishaji nchini unazidi kuimarika na kuwawezesha wananchi kuendesha shughuli zao…

Soma Zaidi »

Viongozi wa dini wataka amani, haki Uchaguzi Mkuu

VIONGOZI wa dini wametaka taifa liombewe ili mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 uwe huru, haki na amani huku…

Soma Zaidi »

Samia: Tuiombee nchi idumu katika amani, umoja

DAR ES SALAAM; RAIS Samia Suluhu Hassani, amewaomba Watanzania waungane kuiombea nchi iendelee kudumu katika amani, umoja na utulivu. Rais…

Soma Zaidi »

Bwana harusi kizimbani wizi wa ractics, fedha

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imempandisha kizimbani Vicent Massawe ‘bwana harusi’ kwa makosa mawili ambayo wizi wa gari lenye thamani…

Soma Zaidi »

Tanzania U17 yatinga fainali AFCON 2025

TIMU ya taifa ya wavulana chini ya miaka 17(Serengeti Boys) imetinga fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON 2025) na…

Soma Zaidi »

Mwinyi ataka kila barabara mpya iwekwe taa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, ameuagiza Mfuko wa Barabara kuzifanyia ukarabati barabara…

Soma Zaidi »

Usambazaji maji mijini Geita wafikia asilimia 75

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Geita (GEUWASA) imeweka wazi, mpaka sasa hali ya usambazaji na upatikanaji wa…

Soma Zaidi »

JKT Tanzania: Tuliwataka leo tumewapata

KLABU ya Simba leo inaikaribisha JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania kwenye uwanja wa KMC Complex, Dar es…

Soma Zaidi »
Back to top button