Featured

Featured posts

Serikali yaagiza wananchi kuweka akiba ya chakula

DODOMA; WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali…

Soma Zaidi »

UN yaisifu Tanzania kuwa mfano wa amani

UMOJA wa Mataifa (UN) umesema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa amani na mshikamano ndani ya Afrika na duniani kwa ujumla.…

Soma Zaidi »

Tume ya Uchunguzi yaanza kusikiliza wananchi

TUME ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025…

Soma Zaidi »

Waumini wakumbushwa kuishi kwa imani

DODOMA; WAUMINI nchini wamekumbushwa kuishi maisha ya imani ili kuandika historia nzuri wakiwa duniani na hata wakitangulia mbele ya haki…

Soma Zaidi »

Samia awapa neno mawaziri wapya

RAIS Samia Suluhu Hassan amemmwagia sifa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama aliyefariki dunia kuwa alikuwa kiongozi mwenye moyo wa kujali…

Soma Zaidi »

Mhagama kuzikwa Des.16 kijijini Ruanda

DODOMA; MBUNGE wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama aliyefariki dunia leo Desemba 11, 2025 mjini Dodoma, atazikwa Desemba 16, 2025…

Soma Zaidi »

Dk Nchimbi: Taifa limepata pengo kifo cha Mhagama

DODOMA; Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi amesema Taifa limepata pengo kuondokewa na Mbunge wa Jimbo la Peramiho…

Soma Zaidi »

Rais Samia ateua Mwenyekiti Bodi Tanesco

DODOMA; RAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua  Plasdus Mbossa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Taarifa…

Soma Zaidi »

Mwigulu: Fanyeni mapitio tamko la mali, madeni

DODOMA; WAZIRI MKUU Dk Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya haraka kwenye tamko la mali na madeni na…

Soma Zaidi »

Rais Samia aomboleza kifo cha Jenista

DAR ES SALAAM; RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu kufuatia kifo…

Soma Zaidi »
Back to top button