Featured

Featured posts

Dk Nchimbi: Taifa limepata pengo kifo cha Mhagama

DODOMA; Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi amesema Taifa limepata pengo kuondokewa na Mbunge wa Jimbo la Peramiho…

Soma Zaidi »

Rais Samia ateua Mwenyekiti Bodi Tanesco

DODOMA; RAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua  Plasdus Mbossa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Taarifa…

Soma Zaidi »

Mwigulu: Fanyeni mapitio tamko la mali, madeni

DODOMA; WAZIRI MKUU Dk Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya haraka kwenye tamko la mali na madeni na…

Soma Zaidi »

Rais Samia aomboleza kifo cha Jenista

DAR ES SALAAM; RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu kufuatia kifo…

Soma Zaidi »

Hapa ni eneo lipi la Dar?

DAR ES SALAAM; KWA wale wataalamu wa maeneo hapa ni jijini Dar es Salaam, je ni eneo lipi?

Soma Zaidi »

Mama adaiwa kuua mtoto kwa kipigo

MBEYA; JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Marry Timotheo, mkazi wa Kijiji cha Garijembe Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya…

Soma Zaidi »

Mbagala wajinafasi mwendokasi

HUDUMA za usafiri wa mabasi ya mwendokasi jijini Dar es Salaam kutoka Gerezani kuelekea Mbagala zikiendelea kama kawaida. (Picha na…

Soma Zaidi »

Serikali: Wasiokuwa na dharura wakae nyumbani

SERIKALI imeagiza wananchi wasio na dharura kesho Desemba 9, 2025 washerehekee miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara wakiwa nyumbani.…

Soma Zaidi »

Waungana upatikanaji umeme visiwa vya Ziwa Victoria

ARUSHA: KAMPUNI ya PowerHut Renewables Limited yenye makao yake mjini Arusha imeingia katika mkataba wa mwaka mmoja wa ushirikano wa…

Soma Zaidi »

Tume kuchunguza mambo 6 vurugu za Okt.29

DAR ES SALAAM; Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu…

Soma Zaidi »
Back to top button