Featured

Featured posts

Ushindi Tuzo za Afrika uwe chachu kukuza sekta ya utalii

MWISHONI mwa wiki, Tanzania ilikuwa mwenyeji wa Tuzo za 32 za Utalii duniani 2025 maarufu World Travels Awards Kanda ya…

Soma Zaidi »

Dk Mpango aiita Vietnam uwekezaji viwanda, kilimo

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameikaribisha Vietnam kuchangamkia fursa za uwekezaji nchini kama vile kilimo, viwanda vya nguo na…

Soma Zaidi »

CCM yafunga pazia leo, Sabaya achomoza

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokeza kwa wingi kuchukua fomu za kuomba uteuzi katika nafasi za ubunge, uwakilishi, na…

Soma Zaidi »

Sababu saba TRA ikikusanya tril 32/-

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeweka rekodi kwa ukusanyaji wa mapato kwa kukusanya Sh trilioni 32.29 katika Mwaka wa Fedha…

Soma Zaidi »

Rwanda, DRC simamieni mkataba wa Washington kudumisha amani

WIKI iliyopita dunia ilipata habari za kutia moyo na zenye matumaini ya kuufikisha mwisho mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe wa…

Soma Zaidi »

Taasisi ya kimataifa kujenga chuo cha lishe Arusha

JUMUIYA ya Afya ya Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika (ECSA-HC) inapanga kujenga vyuo viwili kutoka 11 vya sasa kikiwamo…

Soma Zaidi »

Sababu zatajwa wengi kugombea ubunge

KUKUA kwa demokrasia na watu kutaka kujulikana kwenye vyama na kwenye mamlaka za uteuzi zimetajwa kuwa sababu za kuwa na…

Soma Zaidi »

Matukio mbalimbali bonanza la watumishi TSN

DAR ES SALAAM. MATUKIO mbalimbali wakati wa bonanza maalumu kwa watumishi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), ikiwa ni…

Soma Zaidi »

Ajali basi, coaster yaua 37 Same

WATU 37 wamepoteza maisha na wengine 29 kujeruhiwa katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea jioni ya Juni 28, 2025, katika…

Soma Zaidi »

Bunge kuvunjwa rasmi Agosti 3

DODOMA — Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa Bunge la 12 litavunjwa rasmi Agosti 03, kufuatia kukamilika kwa kipindi chake…

Soma Zaidi »
Back to top button