Matukio mbalimbali bonanza la watumishi TSN

DAR ES SALAAM. MATUKIO mbalimbali wakati wa bonanza maalumu kwa watumishi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Watumishi wa Umma Viwanja vya TTCL Kijitonyama, Dar es Salaam jana.

MENEJA Utawala na Rasilimaliwatu wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Siku Baleja (kulia) akikabidhi cheti kwa Mhariri wa Habari wa gazeti la Daily News, Nasongelya Kilyinga, baada ya kuibuka mshindi kwa kuzunguka uwanja mara nyingi kwenye bonanza la watumishi wa TSN. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi (RAAWU) tawi la TSN, Glory Tesha.
Watumishi TSN wakishindana kukimbia na yai.
MIDO ya boli wa timu ya wanaume ya Kurugenzi ya Habari ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) , Antipas Kavishe (kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa timu ya Utawala, Aidan Amon, huku Rahim Fadhil ‘Zidane’ (kulia) akiwa tayari kumsaidia .
Watumishi wakishindana mbio za gunia

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button