Infographics

Mwenge kupandishwa Kilimanjaro

KILIMANJARO : WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema…

Soma Zaidi »

Wachimbaji watakiwa kujiandikisha uchaguzi mitaa

WACHIMBAJI wadogo wa madini Mkoa wa Geita wamehamasishwa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ili kushiriki katika uchaguzi wa viongozi…

Soma Zaidi »

Mapokezi ya Rais Samia Mwanza

Rais wa Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza…

Soma Zaidi »

Rubani afariki dunia angani

NDEGE ya Shirika la Ndege la ‘Turkish Airlines’ lenye makao makuu yake nchini Uturuki imeripotiwa kutua kwa dharura katika uwanja…

Soma Zaidi »

CCM Tanga kudili wanaosababisha migogoro

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimeweka wazi kuwa katika uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa hakitawabeba wenyeviti ambao…

Soma Zaidi »

Masauni awahimiza Kondoa kujiandikisha daftari la mpigakura

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amewahimiza wananchi wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma kujiandikisha kwa wingi…

Soma Zaidi »

Programu elimu mbadala yawezesha wasichana 194 kurudi shule

WASICHANA 194 waliorejeshwa shuleni kutokana na kupata ujauzito wameendelea na masomo kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari kwa Njia…

Soma Zaidi »

Tume utumishi wa walimu, mahakama kubadilishana uzoefu

TUME ya Utumishi wa Walimu na Tume ya Utumishi wa Mahakama zimekubaliana kuwa na ushirikiano wa karibu, kukutana mara kwa…

Soma Zaidi »

Gachagua aendeleza utetezi bungeni

NAIROBI, Kenya: NAIBU Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ameendelea kujitetea tangu jana na tena leo anaendelea na utetezi wake bungeni…

Soma Zaidi »

Waandikishaji watakiwa kuwa waadilifu

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Murtallah Mbillu amewataka waandikishaji kuwa waadilifu na wasimuonee mwanachi mwenye sifa ya…

Soma Zaidi »
Back to top button