Jamii

Samia aweka historia Dira 2050

RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya kuwa Rais wa pili wa Tanzania kuandika Dira ya Taifa ya Maendeleo isiyokuwa…

Soma Zaidi »

Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden waadhimisha siku ya Kiswahili

UBALOZI wa Tanzania nchini Sweden ukishirikiana na jumuiya za Watanzania waishio nchini humo, umeandaa na kufanikisha maadhimisho ya Siku ya…

Soma Zaidi »

Maji Ziwa Victoria kufikishwa Dodoma

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema katika miaka mitano ijayo serikali yake itajenga mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Victoria kwenda…

Soma Zaidi »

Rais Samia asema Kiswahili daraja la maendeleo

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Lugha ya Kiswahili ni daraja la maendeleo. Alisema hayo wakati wa maadhimisho ya miaka 50…

Soma Zaidi »

Mama wa kijana aliyeuawa aiomba serikali kusimamia kesi

MAMA mzazi wa marehemu Enock Mhangwa, Kulwa Baseke ameomba serikali imsaidie kuhakikisha inasimamia kesi ya kifo cha mtoto wake ili…

Soma Zaidi »

JAB yabana waandishi waliotangaza nia ya kugombea

BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewabana waandishi wa habari waliotangaza nia ya kugombea nafasi za kisiasa kwa…

Soma Zaidi »

Taasisi ya kimataifa kujenga chuo cha lishe Arusha

JUMUIYA ya Afya ya Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika (ECSA-HC) inapanga kujenga vyuo viwili kutoka 11 vya sasa kikiwamo…

Soma Zaidi »

Matukio mbalimbali bonanza la watumishi TSN

DAR ES SALAAM. MATUKIO mbalimbali wakati wa bonanza maalumu kwa watumishi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), ikiwa ni…

Soma Zaidi »

SBL yakabidhi mradi wa maji Kondoa utakaonufaisha wakazi 14,000

KONDOA, DODOMA: Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), kwa kushirikiana na shirika la Africa Community Advancement Initiative (Africai), imekamilisha na kuzindua…

Soma Zaidi »

Watakaobainika kutumikisha watoto sheria isiwaonee huruma

HIVI karibuni serikali ilitoa takwimu zikionesha utumikishwaji wa watoto umepungua kutoka asilimia 29 mwaka 2014 hadi asilimia 24.9 mwaka 2021.…

Soma Zaidi »
Back to top button