Jamii

Masauni ataka elimu zaidi usimamizi mazingira

DODOMA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni, amelitaka Baraza la Taifa la…

Soma Zaidi »

TBC, WildAid wahimiza uhifadhi mazingira

DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Utangazaji Tanzania (TBC), kupitia mpango wake maalum wa uhifadhi wa mazingira unaorushwa kupitia Tanzania Safari…

Soma Zaidi »

Zamu ya Segerea kampeni msaada wa kisheria

DAR ES SALAAM: Timu ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ikiendelea kutoa huduma kwa wananchi wa Kata…

Soma Zaidi »

Dk Nchimbi: CCM inathamini maoni kulinda amani

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema CCM inatambua umuhimu wa kulinda amani na utulivu na…

Soma Zaidi »

Samia aagiza Watanzania walio Iran, Israel kurudi nchini

RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza Watanzania wanaoishi Iran na Israel warudishwe nchini. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…

Soma Zaidi »

Maofisa Polisi 2 wahukumiwa kunyongwa

MTWARA; MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa wawili kati ya maofisa saba  wa jeshi…

Soma Zaidi »

Wadau wa korosho Afrika wakutana Mtwara

MTWARA; WATALAAMU na wadau wa korosho kutoka nchi nane barani AfriKa leo wamekutana Mkoani Mtwara, kujadili changamoto na fursa kwenye…

Soma Zaidi »

Mtikisiko majimboni

IKIWA imebaki miezi minne kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu hekaheka na sarakasi za watia nia zimeshika kasi…

Soma Zaidi »

Waliozaa na waume za watu changamoto Pugu

TIMU ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia wilayani Ilala imebaini katika Kata ya Pugu baadhi ya wanawake…

Soma Zaidi »

Kikwete ataka tofauti za kisiasa zisiyumbishe taifa

RAIS mstaafu, Jakaya Kikwete ametaja mambo sita ya kufanya kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa amani ikiwemo vyama vya siasa kutambua kwamba…

Soma Zaidi »
Back to top button