Wanawake

Wizara nishati yatoa fursa usawa kwa wanawake

MKURUGENZI wa Ufuatiliaji na Tathmini Wizara ya Nishati, Anita Ishengoma amesema katika utekelezaji wa majukumu ya kisekta Wizara ya Nishati…

Soma Zaidi »

Vazi la Ukaye la kitanga

MIONGONI mwa mavazi ya kuvutia mkoani Tanga ni vazi la Ukaye la watu wenye asili ya kitanga na linavaliwa kwenye…

Soma Zaidi »

Samia ahutubia maadhimisho mafunzo ya uongozi kwa wanawake

Soma Zaidi »

Picha: Samia ashiriki maadhimisho mafunzo ya uongozi

DAR ES SALAAM. Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo…

Soma Zaidi »

EMF wakosoa marufuku hijab michezoni

PARIS, Ufaransa: WANAFUNZI wa Kiislamu wa Ufaransa (EMF) wamekosoa pendekezo la sheria inayolenga kupiga marufuku hijab michezoni, wakidai hatua hiyo…

Soma Zaidi »

‘Sauti ya Mwanamke’ kuinua wanawake, watoto Mikindani

SHIRIKA Lisilo la Kiserikali linalojishughulisha na utoaji wa msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto (NERIO) katika Manispaa ya Mtwara…

Soma Zaidi »

“Uwezeshaji mabinti msingi mabadiliko ya jamii”

MJASIRIAMALI mashuhuri wa Tanzania, Bernice Fernandes ametoa wito wa kuchukua hatua za pamoja kukomesha ndoa za utotoni, akisisitiza kuwa zinachangia…

Soma Zaidi »

Jukwaa laendelea kuelimisha wanawake ukatili kijinsia

JUKWAA la Wanawake Mkoa wa Mtwara (JUWAM) limeendelea kutoa elimu kwa wanawake zaidi ya 200 kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo ukatili…

Soma Zaidi »

Ujumuishwaji: Ahadi ya SBL kuwawezesha wenye ulemavu

TANZANIA: Kila ifikapo 3 Desemba ya mwaka, dunia inaungana kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ulemavu—kumbukumbu muhimu ya kutetea…

Soma Zaidi »

“Sera ziguse wananchi uchaguzi mitaa”

WAGOMBEA wanawake wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, kipindi hiki cha kampeni wametakiwa kujikita…

Soma Zaidi »
Back to top button