Africa

Wakimbizi waaswa kurejea nyumbani misaada ikipungua

KIBONDO — Katika maadhimisho ya Siku ya Wakimbizi Duniani leo Juni 20, 2025, viongozi wa wakimbizi na shirika la UNHCR…

Soma Zaidi »

Miundombinu ya usafiri kuimarishwa Ukanda wa Kati Afrika

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Tanzania imeahidi kuendelea kuwekeza kwa nguvu katika miundombinu ya usafiri kwa lengo la kukuza biashara…

Soma Zaidi »

Tanzania, Uganda zasaini makubaliano kuinua sekta ya mafuta na gesi

Ushirikiano baina ya PURA, ZPRA na PAU unatarajiwa kuinua sekta ya mafuta na gesi

Soma Zaidi »

Afrika iwekeze tafiti za kilimo kuwawezesha vijana – Kikwete

ARUSHA: NCHI za Afrika zinahitaji kuwekeza zaidi katika utafiti na kilimo ili kuwawezesha vijana kupata mwelekeo wa maendeleo kwa ajili…

Soma Zaidi »

TikToker atupwa jela miezi sita

KANO: MAHAKAMA Kuu ya Shirikisho iliyoko mjini Kano imemhukumu TikToker maarufu, Murja Kunya, kifungo cha miezi sita jela kwa kutumia…

Soma Zaidi »

Mbeki ahimiza umoja Afrika

RAIS mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki amewahimiza Waafrika kudumisha umoja na kuwaenzi waasisi wa harakati za ukombozi. Amesema hayo…

Soma Zaidi »

Waziri wa Sheria DRC kuhojiwa

WAZIRI wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Constant Mutamba, anakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya takriban…

Soma Zaidi »

Kabila aondolewa kinga ya kushtakiwa DRC

BARAZA la Seneti nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limemvua rasmi kinga ya kutoshitakiwa Rais wa zamani Joseph Kabila,…

Soma Zaidi »

Mbeki azuru eneo la Mazimbu Morogoro

RAIS wa Zamani wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki ametembelea eneo la kihistoria la Mazimbu, lililoko mkoani Morogoro ikiwa ni katika…

Soma Zaidi »

Ponyo ahukumiwa kifungo kwa ufisadi

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Augustin Matata Ponyo, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela

Soma Zaidi »
Back to top button