Africa

Rais Samia apokea Tuzo ya Kinara wa Maji Afrika

Soma Zaidi »

Kenya wadhibiti mlipuko wa ugonjwa usiojulikana

KENYA : WIZARA ya Afya nchini Kenya imeanza uchunguzi wa mlipuko wa ugonjwa usiojulikana ambao umeathiri zaidi ya watu 200…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu wa zamani ahukumiwa miaka 5 jela

MAHAKAMA maalumu nchini Guinea imemhukumu Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Ibrahima Kassory Fofana kifungo cha miaka mitano jela…

Soma Zaidi »

Watu 7,000 wafa DR Congo

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Judith Tuluka ametangaza zaidi ya watu 7,000 wamepoteza maisha tangu kuanza kwa…

Soma Zaidi »

Afrika Kusini yatangaza mgao wa umeme

SHIRIKA la Taifa la Umeme la Eskom nchini Afrika Kusini limetangaza kuanzishwa kwa mgao wa umeme, kufuatia tatizo la kukatika…

Soma Zaidi »

Rais Samia kuanza ziara Tanga Feb 23

WANANCHI  wa Mkoa wa Tanga leo wamejitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya pamoja yaliyoandaliwa kwa ajili ya kuhamasisha mapokezi ya…

Soma Zaidi »

Marais saba kuja mkutano wa kahawa Afrika kesho

MARAIS saba wamethibitisha kushiriki mkutano wa nchi 25 zinazolima kahawa Afrika (G-25) unaotarajiwa kufanyika kesho na keshokutwa kwenye Kituo cha…

Soma Zaidi »

Besigye arudishwa gerezani

KIONGOZI wa Upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ,68, amerudishwa gerezani baada ya kuwahishwa hospitali kutokana na afya yake kuzorota kwa…

Soma Zaidi »

Kiongozi wa upinzani Kizza Besigye akimbizwa hospitali

UGANDA : WAFUASI wa kiongozi wa muda mrefu wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, wamefichua kuwa mwanasiasa huyo alikimbizwa hospitalini…

Soma Zaidi »

AU yahofia mgawanyiko DR Congo

  ADDIS ABABA: UMOJA wa Afrika umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mgawanyiko wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kufuatia waasi…

Soma Zaidi »
Back to top button