Kimataifa

Maafisa wa madini mbaroni Rwanda

KIGALI: MAAFISA watatu waandamizi wa Bodi ya Migodi, Petroli na Gesi nchini Rwanda na wafanyabiashara wanne wamekamatwa kwa tuhuma za…

Soma Zaidi »

Hapa ndipo alipozikwa Papa Francis

ROME : KABURI la Papa Francis limeanza kuonyeshwa kwa umma  katika kanisa la Santa Maria Maggiore mjini Rome. Papa Francis…

Soma Zaidi »

Korea Kaskazini yapeleka wanajeshi Urusi

KOREA KASKAZINI : SERIKALI ya Korea Kaskazini imetuma wanajeshi wengine kuisaidia Urusi katika vita vyake dhidi ya Ukraine. Kwa mujibu…

Soma Zaidi »

Wafanyakazi MSF wauwawa DRC

DR CONGO : SHIRIKA la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limethibitisha kutokea kwa mauaji ya wafanyakazi wake wawili katika mji…

Soma Zaidi »

Watu 250,000 kuhudhuria maziko ya Papa Francis

VATICAN; TaKRIBANI watu 250,000 wanatarajiwa kuhudhuria maziko ya kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis (88) keshokutwa. Maelfu ya waombolezaji…

Soma Zaidi »

Papa Francis kuzikwa jumamosi

VATICAN : MAZISHI ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis yamepangwa kufanyika siku ya Jumamosi katika Kanisa Kuu la…

Soma Zaidi »

Trump aamuru bendera kupepea nusu mlingoti

MAREKANI : RAIS wa Marekani, Donald Trump ameamuru bendera zote zipandishwe nusu mlingoti kama sehemu ya maombolezo ya Baba Mtakatifu…

Soma Zaidi »

Brazil yatangaza siku saba za maombolezo

BRAZIL : RAIS wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva ametangaza maobolezo ya siku saba kufuatia kifo cha Baba Mtakatifu…

Soma Zaidi »

Papa Francis ameacha historia

VATICAN : MWAKA 2013, historia ilifanyika pale Papa Francis alipotangazwa kama kiongozi wa Kanisa Katoliki, akiwa Papa wa kwanza kutoka…

Soma Zaidi »

Papa Francis afariki Dunia akiwa na miaka 88

VATICAN – Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo asubuhi akiwa na umri wa miaka 88. Taarifa…

Soma Zaidi »
Back to top button