DOHA : SERIKALI ya Qatar imetangaza mpango wa kutoa ruzuku ya dola milioni sitini kufadhili mishahara ya jeshi la Lebanon…
Soma Zaidi »Kimataifa
LATVIA : WABUNGE nchini Latvia wameamua kuchukua hatua muhimu ya kupiga kura ya kuiondoa nchi hiyo kwenye mkataba wa kupiga…
Soma Zaidi »CAMBODIA : RAIS Xi Jinping wa China amewasili Cambodia ambapo kitakuwa kituo cha mwisho cha ziara yake ya kuyatembelea mataifa…
Soma Zaidi »MAREKANI : RAIS wa Marekani, Donald Trump amesema simu za mikononi zilizotengenezwa na China na vifaa vingine vya kielektroniki havitaondolewa…
Soma Zaidi »MAREKANI : MWANAMUZIKI wa Pop, Katy Perry, pamoja na wanawake watano wamesafiri angani kwenye chombo cha utalii, New Shepard, kinachomilikiwa…
Soma Zaidi »ALGERIA : SERIKALI ya Ufaransa imetangaza kuwa itajibu hatua yoyote itakayochukuliwa na Algeria ya kuwafukuza wanadiplomasia wake 12, katika mzozo…
Soma Zaidi »CHINA : RAIS wa China, Xi Jinping, ameonya kuhusu hatari za vita vya kibiashara na ushuru na Marekani, akisema kuwa…
Soma Zaidi »SUDAN : MASHIRIKA ya Kimataifa ya misaada yameelezea kukerwa na shambulio lililotekelezwa na wapiganaji wa kundi la RSF katika kambi…
Soma Zaidi »WASHINGTON DC : RAIS wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa anatarajia kutoa uamuzi kuhusu Iran kwa muda mfupi ujao, baada…
Soma Zaidi »GABON : KIONGOZI wa Kijeshi nchini Gabon, Jenerali Brice Oligui Nguema, ameibuka mshindi katika uchaguzi wa rais uliofanyika Jumamosi, akipata…
Soma Zaidi »









