Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Waziri Mkuu atoa maagizo Wizara ya Madini

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Madini kufanya ufuatiliaji wa makampuni ya madini ambayo yameshilikilia maeneo kwa muda…

Soma Zaidi »

Serikali kuipa nguvu sheria uwezeshaji wazawa sekta madini

SERIKALI imeeleza kuwa imejizatiti kuongeza nguvu ya usimamizi thabiti wa sheria ya uwezesahji wazawa (Local Contents) kwa kuifugamanisha moja kwa…

Soma Zaidi »

Tanzania yaadhimisha siku ya usafiri majini

DAR-ES-SALAAM : TANZANIA leo imeungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Usafiri Majini Duniani, ambapo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika…

Soma Zaidi »

PURA yaikaribisha Chevron Tanzania kuwekeza sekta ya mafuta, gesi asilia

ACCRA, GHANA: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeikaribisha moja ya kampuni  kubwa ya nishati ya Marekani ijulikanayo…

Soma Zaidi »

Tanzania mguu sawa kuanza mradi Mchuchuma,Liganga

SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho za majadiliano na wawekezaji katika mradi wa chuma Liganga na makaa ya mawe…

Soma Zaidi »

Samia kuifanya Ruvuma kitovu cha biashara

SONGEA : MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema wananchi wakimchagua, Mkoa wa Ruvuma utakuwa kitovu…

Soma Zaidi »

Majaliwa afungua maonesho ya madini Geita

GEITA : WAZIRI MKUU,Kassim Majaliwa leo Septemba 22, 2025 amefungua maonesho ya nane ya teknolojia ya madini kwa mwaka 2025…

Soma Zaidi »

Shoo ataka wadau wajifunze teknolojia mpya

GEITA : MAONESHO ya Nane ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini Geita yanatarajiwa kuzinduliwa kesho na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa…

Soma Zaidi »

Wananchi watakiwa kuwapokea wawekezaji

KIGOMA: KIONGOZI wa Mbio za mwenge wa Uhuru, Ismail Ussi amewataka wananchi kuwapa ushirikiano wawekezaji wanaotekeleza miradi katika maeneo yao…

Soma Zaidi »

Kampuni ya gesi yazindua jiko la nishati safi

KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania kwa kushirikiana na Tanzania Communities Rise Foundation(TCRF) wamezindua jiko linatumia mfumo wa nishati safi katika…

Soma Zaidi »
Back to top button