Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Tanzania, Uingereza kushirikiana kuendeleza madini mkakati

SERIKALI ya Tanzania imeihakikishia Serikali ya Uingereza kuendeleza ushirikiano kwenye sekta ya madini hususani katika kujengea uwezo watu wake, kubadilishana…

Soma Zaidi »

Tanzania, Italia kushirikiana kuendeleza sekta ya Madini

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesena Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na Italia…

Soma Zaidi »

Matumizi kuni, mkaa taasisi za umma mwisho leo -Majaliwa

LINDI: WAZIRI Mkuu wa Nchi, Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo …

Soma Zaidi »

Tanzania mwenyeji mkutano hamasa nishati safi

LINDI: Waziri Mkuu, kassim majaliwa amesema Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa kimataifa kwa ajili ya uhamasishaji wa…

Soma Zaidi »

Tanzania, Saudia Arabia kushirikiana nishati

NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Saudi Arabia katika kuimarisha sekta ya nishati hususan katika…

Soma Zaidi »

Serikali kurejesha hadhi ya madini ya Tanzanite

WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde amesema Serikali imejidhatiti kurudisha hadhi ya Tanzanite kwa kufanya minada ndani na nje ya nchi…

Soma Zaidi »

Sendeka awashtaki askari ukuta wa Magufuli

MBUNGE wa Simanjiro,Christopher Ole Sendeka amewashitaka askari wa geti la ukuta wa Magufuli kuwa wanafanya upekuzi uliopitiza na kufanya wachimbaji…

Soma Zaidi »

Madini wakusanya bil 434/- miezi mitano

KATIKA kipindi cha miezi mitano cha kuanzia Julai mwaka huu hadi Desemba Mosi mwaka huu, Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya…

Soma Zaidi »

Mavunde azindua mnada wa vito Mererani

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amezindua mnada wa kwanza wa ndani wa madini ya vito katika mji mdogo wa Mirerani…

Soma Zaidi »

Timu yajifunza utekelezaji miradi LNG Indonesia

TIMU ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia (LNG) imeendelea na ziara yake nchini Indonesia…

Soma Zaidi »
Back to top button