Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Miundombonu ya michezo miaka 4 ya Dk Samia

KATIKA kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan, Serikali imeongeza ufadhili, kuboresha miundombinu ya kisasa…

Soma Zaidi »

Msanii Eze Nice aleta tumaini kwa watoto yatima

MSANII wa kizazi kipya, Eze Nice, emewashika mkono watoto walio katika mazingira magumu wa kituo cha Amani Centre baada ya…

Soma Zaidi »

Mnahesabu lakini pointi za Yanga?

DAR ES SALAAM: MABINGWA watetezi Young Africans wameizidi kutanua uongozi wao wa ligi baada ya kuifunga Singida Big Stars 2-1…

Soma Zaidi »

Kibu arejea kuikabili Namungo

DAR ES SALAAM; MSHAMBULIAJI Kibu Dennis amerejea kwenye kikosi cha Simba baada ya kukosa michezo miwili iliyopita ya timu hiyo…

Soma Zaidi »

Yanga, Singida Black Stars hapatoshi

LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajia kuendelea leo kwa Yanga kuikaribisha Singida BS Uwanja wa KMC, Mwenge, Dar es Salaam na…

Soma Zaidi »

Viwanja 22 hekaheka ligi 5 bora Ulaya leo

MICHEZO ya Ligi Kuu tano bora barani Ulaya inaendelea leo kwenye viwanja tofauti England, Hispania, Ujerumani, Italia na Ufaransa. Majogoo…

Soma Zaidi »

Dar Swim Club yajipanga kufanya makubwa Kenya

TIMU ya kuogelea ya Dar es Salaam imepania kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa yatakayofanyika  Kenya Februari 15 na 16.…

Soma Zaidi »

Yanga: Biashara asubuhi, mahesabu jioni

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeweka wazi kwa kusema kwamba una ushindani mkubwa na maadui wakubwa kinachowanusuru ni umoja, mshikamano…

Soma Zaidi »

Chasambi awapigia magoti Simba

KIUNGO wa Simba, Ladack Chasambi amewaomba radhi viongozi, wanachama na mashabiki wa klabu hiyo kwa kujifunga goli na kusababisha timu…

Soma Zaidi »

Polisi yaita mashabiki ikivaa Kiluvya Championship

TIMU ya Polisi Tanzania imeita mashabiki wake kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono kuelekea mchezo wa Ligi ya Championship dhidi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button