Sayansi & Teknolojia

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Rais Samia akutana na Mkurugenzi Mkuu UNESCO

Soma Zaidi »

Tanzania yashiriki mkutano wa mawasiliano ya simu Hispania

BARCELONA:  Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Jerry William Silaa , ameshiriki katika Mkutano wa Dunia wa Masuala ya…

Soma Zaidi »

Vyombo vya habari vitumie AI kuhakiki taarifa

DAR-ES-SALAAM : MWENYEKITI wa Bodi ya Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), Joyce Shebe, amevishauri vyombo vya habari kutumia…

Soma Zaidi »

Wanahabari tumieni teknolojia ya akili mnemba-AI

DAR-ES-SALAAM : MKURUGENZI wa Shirika la TMC linaloshughulikia maendeleo ya Tehama nchini, Asha Abinallah, amewashauri wadau wa vyombo vya habari…

Soma Zaidi »

Teknolojia Ai izingatie maadili na tamaduni

DAR-ES-SALAAM: MWAKILISHI kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Lilian Shirima, amesema serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya kidigitali ili…

Soma Zaidi »

Samia ageukia shule za wavulana za sayansi

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa shule za sayansi, serikali imeanza na wasichana na…

Soma Zaidi »

Wizara ya Elimu, Korea Kusini kuimarisha mafunzo ya STEM

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia itashirikiana na Korea Kusini katika kuimarisha mafunzo ya Sayansi Teknolojia Uhandisi na Hesabu (STEM).…

Soma Zaidi »

Walimu wa masomo ya Sayansi, Hisabati wapigwa msasa

HATUA madhubuti imechukuliwa ya kukabiliana na uhaba wa wataalamu wa sayansi kwa kuanzisha mafunzo endelevu kwa walimu wa masomo ya…

Soma Zaidi »

‘Sitapeliki’ kunusuru wateja mitandaoni

ARUSHA: KAMPENI ya kushughulikia masuala ya utapeli mtandaoni iitwayo “SITAPELIKI” imezinduliwa rasmi ikiwa mkakati wa serikali pamoja na watoa huduma…

Soma Zaidi »

Tume ya TEHAMA yabainisha fursa kupitia NaPA

DODOMA: TUME ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imewataka wabunifu nchini kutumia fursa za mfumo wa anuani za makazi na…

Soma Zaidi »
Back to top button