Bunge

‘Upo utaratibu kutambua walio sekta isiyo rasmi’

DODOMA; MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA), ina utaratibu wa kutambua walipa kodi kulingana na mitaa. Bunge limeelezwa. Naibu Waziri wa…

Soma Zaidi »

‘Changamoto 22 Muungano zimepatiwa ufumbuzi’

DODOMA; SERIKALI imesema jumla ya changamoto 22 za Muungano zimepatiwa ufumbuzi. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo na Naibu Waziri Ofisi…

Soma Zaidi »

Sheria makosa ya uhujumu uchumi kurekebishwa

DODOMA; BUNGE mchana huu limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025, huku miongoni mwa sheria…

Soma Zaidi »

Sheria 9 kufanyiwa marekebisho

DODOMA; Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amewasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025, huku…

Soma Zaidi »

Wavuvi watakiwa kutumia fursa za mikopo

DODOMA; WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema fursa za kukopa zipo, hivyo wajasiriamali wakiwemo wavuvi wazitumie. Ametoa kauli hiyo leo bungeni,…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Tunakoelekea SGR ni kuzuri

DODOMA; WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema mambo mazuri yanakuja kuhusiana an reli ya kisasa ya SGR. Ametoa kauli hiyo leo…

Soma Zaidi »

‘Treni ikifika Dodoma saa 1;30 asubuhi itasaidia kukuza uchumi’

DODOMA; NAIBU Spika Mussa Azzan ‘Zungu’, amesema kama Shirika la Reli nchini (TRC), litabadilisha ratiba za safari zake ya treni…

Soma Zaidi »

Bunge laidhinisha bajeti Wizara ya Fedha

DODOMA; BUNGE limeidhinisha bajeti ya Wizara ya Fedha yenye makadirio ya zaidi ya Sh  trilioni 20 kwa mwaka wa fedha…

Soma Zaidi »

Kubeti kwaingiza mapato Sh Bil.17

MICHEZO ya kubahatisha imeingiza serikalini kiasi cha Sh Bil.17.42 kwa mwaka wa fedha 2024/25, huku ikipanga kukusanya Sh Bil.29.89 kwa…

Soma Zaidi »

Wizara ya Fedha yaomba kuidhinishiwa Sh Tril.20

DODOMA; WIZARA ya Fedha imewasilisha mafungu nane ikiomba kuidhinishiwa kiasi cha Sh trilioni 20.19 kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button