Siasa

Samia na hotuba ya matumaini uzinduzi wa kampeni CCM

AGOSTI 28, 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilianza safari ya kuwania kushika dola kwa mara nyingine kupitia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika…

Soma Zaidi »

Mpango: Samia amedhihirisha anaimudu vizuri kazi ya urais

DODOMA : MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Mgombea Ubunge CUF ataja vipaumbele 13 vya maendeleo

MOROGORO MGOMBEA wa ubunge katika Jimbo la Morogoro Mjini kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Nyambi Athuman amesema ilani ya chama…

Soma Zaidi »

Maghembe aahidi maji ya uhakika Ugweno

MWANGA : MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Ngwaru Maghembe amesema akichaguliwa…

Soma Zaidi »

Mgombea ubunge asifu serikali ujenzi barabara DODOMA Mjini

DODOMA : MGOMBEA ubunge jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Pascal Chinyele ameipongeza Serikali ya Awamu ya…

Soma Zaidi »

Wananchi tushiriki kampeni kubaini wagombea bora

KAMPENI za wagombea nafasi ya urais, ubunge na udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 zinaendelea nchini.

Soma Zaidi »

Wagombea urais, ubunge wabanwa fedha za uchaguzi

DODOMA : WAGOMBEA urais, ubunge na udiwani wanatakiwa kutangaza fedha walizonazo kwa ajili kwa kugharamia uchaguzi.

Soma Zaidi »

Msigwa: Samia amefanya maajabu

NYAMAGANA : KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Msigwa amesema mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Mgombea upinzani amuunga mkono Dk Mwinyi

ZANZIBAR : MGOMBEA urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib amesema anamuunga mkono mgombea kupitia…

Soma Zaidi »

Wagombea 124 udiwani CCM wakosa upinzani Arusha

ARUSHA : MSIMAMIZI wa Uchaguzi Mkoa wa Arusha, Apolinary Seiya amesema wagombea wa udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika…

Soma Zaidi »
Back to top button