Siasa

Kabudi ahimiza uzalendo Uchaguzi Mkuu

DAR-ES-SALAAM : SERIKALI imeagiza waandishi wa habari waandike habari za Uchaguzi Mkuu wakizingatia uzalendo badala ya masilahi binafsi. Waziri wa…

Soma Zaidi »

Kisesa wameitika mapokezi ya Nchimbi

SIMIYU: MAMIA ya wananchi wa Kata ya Mwandoya ndani ya Jimbo la Kisesa, wilayani Meatu wamejitokeza kumsikiliza Mgombea Mwenza wa…

Soma Zaidi »

Chaumma kutangaza wagombea ubunge

DAR-ES-SALAAM : CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinatarajia kutangaza majina ya wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu Agosti 24, mwaka…

Soma Zaidi »

Polisi yataka wanahabari waheshimu mipaka

DAR-ES-SALAAM : JESHI la Polisi limewataka wanahabari watambue na kuheshimu mipaka katika utekelezaji wa majukumu yao wakati wa Uchaguzi Mkuu.

Soma Zaidi »

TCRA yatahadharisha uchochezi habari za uchaguzi

DAR-ES-SALAAM : MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka waandishi wa habari waepuke kuripoti taarifa za uchochezi zinazoweza kuchochea migogoro na…

Soma Zaidi »

CCM kuamua wagombea ubunge, wawakilishi 

MTANDAO : MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu…

Soma Zaidi »

Sheria yatoa mwongozo kampeni za Uchaguzi Mkuu

DODOMA :WAGOMBEA katika Uchaguzi Mkuu wameelekezwa kuwasilisha kwa msimamizi wa uchaguzi mapendekezo ya ratiba inayoonesha muda na mahali mikutano ya…

Soma Zaidi »

Wagombea waanza kuchukua fomu za uteuzi

MVOMERO : MGOMBEA kupitia Chama cha Al- liance for Democratic Change (ADC), Jesca Mfumya alifika Ofisi ya Msi- mamizi wa…

Soma Zaidi »

CUF yaahidi uchumi wa kisasa

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema serikali yake itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani kitaifa na kimataifa. Ilani ya Uchaguzi ya…

Soma Zaidi »

NLD yaahidi makubwa barabara kuunganisha mikoa

CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kimesema serikali yake itajenga njia mbili Barabara ya Dodoma–Mwanza ili kukuza muunganiko wa…

Soma Zaidi »
Back to top button