Siasa

Dk Mdede arudi tena jimbo la Kalenga

IRINGA; DAKTARI kijana mwenye historia ya kuaminiwa katika uongozi na siasa, Dk Musa Leonard Mdede amechukua rasmi fomu ya kuwania…

Soma Zaidi »

Mkuchu arejesha fomu udiwani Kunduchi

DAR ES SALAAM: KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Mkuchu, amekamilisha hatua ya awali ya kugombea nafasi ya udiwani…

Soma Zaidi »

Nyota wa Yanga ajitosa ubunge Iringa Mjini

IRINGA: MWANASOKA wa zamani wa timu ya Yanga SC, Ally Msigwa, amejitosa rasmi katika mbio za kisiasa baada ya kuchukua…

Soma Zaidi »

Shakila Mpomo atwaa fomu ubunge viti maalum

Shakila Mpomo amechukua na kurejesha rasmi fomu ya kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum kwa vijana Taifa kupitia Umoja…

Soma Zaidi »

Nkoronko atwaa fomu ubunge Sumbawanga Mjini

SUMBAWANGA: MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge…

Soma Zaidi »

Salome arudisha fomu ubunge Viti Maalum

SHINYANGA: ALIYEKUWA Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba, amerudisha fomu ya kugombea nafasi…

Soma Zaidi »

Nassari achukua fomu ubunge Arumeru Mashariki

MWANZA: ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Joshua Nassari ni miongoni mwa wanachama 28 waliochukua fomu kuwania ubunge…

Soma Zaidi »

Lukumay ajitosa ubunge Arumeru Magharibi

MWENYEKITI wa Chama Cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA), mfanyabiashara maarufu, na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Elias Lukumay,…

Soma Zaidi »

Mlawa aanza safari ya ubunge Kilolo

IRINGA: Mdau wa maendeleo Aidan Damian Mlawa amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania…

Soma Zaidi »

Salome Makamba atwaa fomu ubunge uwakilishi wanawake

SHINYANGA: Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga, Salome Makamba amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama…

Soma Zaidi »
Back to top button